DOWNLOAD APP YETU HAPA

TAMASHA LA URITHI LATUA MANYARA

  Masama Blog      
Wakati shamrashamra zikiendelea Mikindani Mtwara, sasa tunabisha hodi Manyara kwenye Viwanja vya Kwara, Babati 13-14 Oktoba

Manyara kuna Maonesho ya Ngoma, Kutembelea Mlima Kwara na Ziwa Babati, Maonesho ya Vyakula vya Jadi, Usiku wa Urithi ambayo ni fursa ya wadau wa biashara za Utalii Manyara kukutana pamoja na Nyamachoma na Nyamapori

Hakuna kiingilio, karibu

#UrithiFestival2019 #MwendoMdund


from CCM Blog https://ift.tt/2VFdnId
via
logoblog

Thanks for reading TAMASHA LA URITHI LATUA MANYARA

Previous
« Prev Post