DOWNLOAD APP YETU HAPA

KLABU YA ROTARY YA MZIZIMA DAR ES SALAAM YATOA MSAADA WA TAULO ZA KIKE

  Masama Blog      


Rais Mstaafu wa klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam, Dkt. Emeria Mugonzibwa akizungumza na wasichana wa Shule ya Sekondari Jangwani jana jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi msaada wa taulo za kike uliotolewa na klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam kwa wanafunzi wa kike wenye mahitaji maalum wa Shule hiyo.
Rais Mstaafu wa klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam, Dkt. Emeria Mugonzibwa akikabidhi msaada wa taulo za kike uliotolewa na klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es salaam kwa wanafunzi wa kike wenye mahitaji maalum wa Shule Sekondari Jangwani jana  jijini Dar es Salaam.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OJWxXB
via
logoblog

Thanks for reading KLABU YA ROTARY YA MZIZIMA DAR ES SALAAM YATOA MSAADA WA TAULO ZA KIKE

Previous
« Prev Post