KAMISHNA WA POLISI LIBERATUS SABAS AKISIKILIZA KERO NA MALALAMIKO YA WANANCHI KASULU

  Masama Blog      
 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akiwa na maafisa kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno Wamewasili katika Wilaya ya Kasulu mkoani humo kwaajli ya kusikiliza malalamiko ya wananchi pamoja wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko la Sophia, kutokana na kuwepo na wahalifu wanaotumia wilaya kama njia ya kuvushia silaha kutoka nchi za jirani, ila wengine hushirikiana na waharifu kutoka nchi za jirani kuja wilayani hapo na kufanya uhalifu wao kisha kukimbilia  nchi za jirani kama vile Burundi na Rwanda.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akiwa na maafisa kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno Wamewasili katika Wilaya ya Kasulu mkoani humo kwaajli ya kusikiliza malalamiko ya wananchi pamoja wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko la Sophia, kutokana na kuwepo na wahalifu wanaotumia wilaya kama njia ya kuvushia silaha kutoka nchi za jirani, ila wengine hushirikiana na waharifu kutoka nchi za jirani kuja wilayani hapo na kufanya uhalifu wao kisha kukimbilia  nchi za jirani kama vile Burundi na Rwanda.(PICHA NA JESHI LA POLISI)from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2MMgATE
via
logoblog

Thanks for reading KAMISHNA WA POLISI LIBERATUS SABAS AKISIKILIZA KERO NA MALALAMIKO YA WANANCHI KASULU

Previous
« Prev Post