Ticker

10/recent/ticker-posts

MAHUSIANO:Wasichana Walioolewa na Kupata Ujauzito Katika Umri Mdogo Wawatupia Lawama Wazazi

RUKWA, NKASI: Wasichana waliopata ujauzito wakiwa bado ni Wanafunzi wamesema wazazi ndio chanzo cha mimba hizo

Wamesema kuwa Wazazi hawatimizi wajibu wao wa kulea na kuwapa mahitaji muhimu

Wilaya hiyo inaongoza kwa idadi kubwa ya Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kupata ujauzito

Takribani Wasichana 115 wamepata ujauzito Wilayani humo kuanzia mwezi Januari mwaka huu