Ticker

10/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA ZA MASTAA WALIOJITOKEZA KWENYE SHEREHE YA KUMUAGA RAIS OBAMA

Mastaa kibao wikiendi hii walimiminika kwenye ikulu ya white house kwenye sherehe za kuagwa kwa Rais Barack Obama.
Kuliwepo na mastaa wa kila aina, wakongwe, wapya, wanamuziki, waigizaji wa filamu, wana michezo na wengine. Pamoja na kukatazwa kurekodi ama kupiga picha ndani ya ikulu hiyo, baadhi yao hawakuchelea kupiga za kujificha.
Miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni pamoja na Paul McCartney, Meryl Streep, Pharrell na Solange, Robert De Niro, Common Usher na wengine.
Wengine ni Wale, John Legend, Bradley Cooper, Magic Johnson, Tom Hanks, Kelly Rowland.
Tazama picha zao: