Ticker

10/recent/ticker-posts

MAHUSIANO:MKE WA BOSI NA BOSI WANGU SIWAELEWI ELEWI..ANGALIA HAYA WANAYOYAFANYA


Bosi na mke wake wananishagaza sana.
Nina miezi 6 tungu niajiriwe(opr manager)kampuni hii binafsi ya Muasia.
Kila inapofika lunch time bosi huniomba nikamchukulie chakula nyumbani kwake kwa gari yake,awali nilona jambo la kawaida,baada ya kuzoeana na mkewe vituko vilianza,nikfika napewa chakula nile ndo niondoke na cha bosi! Siku moja alinilazimisha kumgono,nlipokataa akasema atamwambia bosi nlitaka kumbaka! Ikabidi niwajibike! Kitu cha ajabu zaidi kadri siku ziendavyo bosi anazidi kua karibu yangu hadi anataka niende matembezi ya usiku na mkewe ama akisafiri ananiomba nilale kwake,na leo anataka nimsindikize mkewe Nairobi! Kwakweli nashindwa nifanyaje,kazi naipenda kwani nalipwa vizuri,nalipiwa nyumba,private trans nk! Jamani nifanyaje kwani najihisi nabakwa!! Ushauri wenu nauhitaji jamani (kwa sasa nipo single ila nna girl friend nimpendae)

SOURCE:JAMII FORUM