Ticker

10/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA ZA HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEHEA KUAPISHWA KWA RAIS DKT MAGUFULI

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi usiku kwa ajili ya mchapalo maalum ulioandaliwa na Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli kusherehekea kupishwa kwake



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan kifuatiwa na mkewe Mama Janet Magufuli


Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na wake wa viongozi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Mizengo Pinda



Blogger maarufu Haki Ngowi (kushoto) na nduguye ambaye ni mbunifu wa mavazi wa mkimataifa Sheria Ngowi ndani ya nyumnba



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake. Hapa ni rafiki yake na Waziri Mkuu wa Zamani wa Kenya Mhe Raia Odinga na ujumbe wake


Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kusalimiana na wageni wake



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete na familia ya Rais Mstaafu



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimianana na Mufti Mkuu wa Tanzania 



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipozi na viongozi wa BAKWATA



Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimaiana na viongozi wa dini




Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na msanii Mrisho Mpoto



Yamoto Band ikitumbuiza. Picha zote na IKULU