Ticker

10/recent/ticker-posts

WAONE HAWA WANAWAKE MASTAA WA BONGO WAKI-SHOOT VIDEO YA “SIMAMA NAMI”










Hizi ni baadhi ya picha za baadhi ya wanawake mastaa wa hapa bongo wakiwa katika utengenezaji wa video ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la Simama Nami ambao wameuimba maalumu kwa ajili ya kukemea mauaji ya walemavu wa ngozi ‘Albinos’. Baadhi ya mastaa hao, ni pamoja na Kajala, Shilole,Nisha, Madam Rita, Dida Shaibu, Sauda Mwilima, Anna Peter, shamsa Ford, Keisha na wengine wengi
“Simama nami piga vita wauwaji wa maalbino pamoja tunaweza”