Ticker

10/recent/ticker-posts

CHRIS BROWN AFUNGUKA ABOUT BEEF NA DRAKE,USHKAJI NA KANYE WEST NA MAMBO YA RIHANNA.

chris-brown-the-breakfast-club-iamsupergorge
Msanii wa rnb Chris Brown amefunguka kuhusu mahusiano yake na Kanye West, Beef na Drake na mambo ya Rihanna kwenye interview yake na kipindi cha BreakFast Club.
Kila Chris Brown alivyoulizwa kuhusu Drake alijibu “I ain’t getting no money about talking about him.” akimaanisha silipwi kwa kumzungumzia huyu jamaa ila baadae kwenye interview Chris alisema yeye sio rafiki wa Drake kabisa.Chris kamwita Drake “corny singing rapper” .
Kuhusu Rihanna Chris Brown alisema “Who else in the game she gon’ go to? Some corny singing rapper,” Akimaanisha Riri atatoka na nani tna kwenye muziki, labda “corny singing rapper” [Drake] .
Kuhusu maisha yake Chris Brown amesema ” ndani ya miaka mitano maisha yake yamezungukwa na vitu hasi sana ila anachoweza kufanya ni kutoa muziki mzuri tu, nahayo ndiomafanikio ya muziki”
Kabla ya kumaliza interview Chris aliongelea mahusiano yake na Kanye West nakusema yuko “real cool” na Kanye West.