Ticker

10/recent/ticker-posts

PICHA ZA JOKATE ZA KIMAPENZI NA CALISAH ZAVUJA..HEBU ZIONE HAPA UTOE MAONI YAKO

Huyu Calisah ni Model maarufu wa kiume...ambaye siku za hivi kariburi alikuwa ana mahusiano yakimapezi na Jackline Wolper....kama tulivyo ripoti siku za nyuma kidogo..
Wiki kadhaa zilizopita inasemekana penzi lao LUKU ILI KATA.....Hadi sasa Calisah amefuta picha  zote za Wolper  kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM ambapo zilikua zaidi 30..hahahaha
Leo kutoka huko INSTAGRAM wadaku wamezidaka picha hizi za JOKATE akiwa na CALISAH katika mapozi ambayo watu wanashindwa kuyaelewa!!! Kama unavyoziona....Jiongeze kiutuuzima!!!