Ticker

10/recent/ticker-posts

MWANAMUZIKI DIAMOND PLATNUMZ AONGELEA TUHUMA ZA KUWAFUKUZA WANAMUZIKI WENZAKE VIP LOUNGE

'Nimesikitishwa Sana na habari zilizoandikwa na moja ya chombo cha habari, kuwa eti nliwanyanyasa wasanii wenzangu Nyota ndogo na Susumila, kwa kuwafukuza kwenye VIP lounge na sijui eti niliwazuia wasitumie maji ya chupa hivi inaingia akilini kweli hii!!!?? Ningependa kutumia nafasi hii kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha Mahusiano yetu mazuri ya wasanii Wa Africa mashariki..kama BigEye ya Uganda ilivyowahi kuandika habari za upotoshaji Kati yangu na Jose Chameleone.. Pia Nawasihi @Bongofive ni vyema mtambue Nafasi yenu kwenye jamii kwa sasa, Kuweni makini na baadhi ya habari mnazo post ama kureport kutoka baadhi ya mitandao, zinavunja mahusiano mazuri ya wasanii wa East Africa...kumbukeni kuna watu wana tabia ya kujudge kitu kwa kusoma kichwa cha habari tu pasipo kufuatilia undani wa habari...Yawezakuwa mwaandika kwa nia njema tu, lakini ni vyema muwe mnapata na uhakika kwanza kabla ya kuripoti, hususan story za kutengeneza chuki kama hizi....kufanya hivyo ndiyo mtasaidia kukuza industry yetu ya East Africa.' Diamond Platnumz
MAJAMBAZI YAVUNJA KANISA NA KUPORA KUNDI la watu wanaodhaniwa ni majambazi, wamevamia na kupora fedha taslimu na vitu mbalimbali katika Kanisa Katoliki la Kilema, Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 14, mwaka huu, ambapo watu hao wakiwa na vifaa maalumu vya kuvunja milango, walivunja lango kuu la kanisa hilo, kuvunja sanduku la sadaka na kupora vifaa vya kufanyia ibada. Kanisa hilo ni la kwanza kujengwa na Wamisionari wa kwanza Kanda ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Dodoma. Akizungumza kwa njia ya simu jana, Padri wa Parokia ya Kilema, Damien Temere Mosha, alisema vitu vilivyoibwa ni pamoja na vifaa vitakatifu vinavyotumika katika sikukuu ya Ekaristi. Akizungumza na gazeti hili, Paroko wa Parokia ya Kilema, Padri Mosha alisema majambazi hao walivunja kasha la kuhifadhi sadaka na kupora fedha zilizokuwamo, ambazo hazijajulikana thamani yake. Alisema majambazi hao waliiba vifaa vya kunywea divai na komunio, ambavyo ni vya dhahabu. Padri Mosha alisema majambazi hao walivunja kasha maalumu la kuhifadhi vifaa vya ibada na kuiba vile vya dhahabu tu vyenye thamani ya mamilioni ya fedha huku wakiacha vya shaba. Alisema baadhi ya vifaa hivyo vilinunuliwa na wamisionari wa kwanza na vilikuwa na thamani kubwa kwa Kanisa hilo, kwa kuwa viliwakilisha imani katika parokia hiyo na Kanda nzima ya Kaskazini. Kiongozi huyo wa kanisa alibainisha kuwa jambo lililomsikitisha ni namna eneo takatifu la kanisa hilo lilivyoharibiwa vibaya, kwani eneo hilo mara nyingi limekuwa likitumika kwa ajili ya kutolea sakramenti takatifu kwa mujibu wa utamaduni wa Kanisa hilo Katoliki. Aliwataka wakazi wa Kilema na wanaozunguka eneo hilo kuwa na utulivu wakati huu vyombo vya usalama vikiendelea na uchunguzi hadi pale waliohusika na tukio hilo watakapokamatwa na kuchukuliwa hatua. Waumini wa kanisa hilo ambao walikusanyika kwa ajili ya sala yao ya kawaida ya Jumapili majira ya saa moja asubuhi, walijikuta wakichelewa kuanza misa wakati uongozi wa kanisa hilo, ukijaribu kutengeneza na kusafisha maeneo yote yaliyoharibiwa na majambazi hao. Nje ya mlango wa kuingilia kutoa sadaka, kulikuwa na damu na inasadikiwa kuwa huenda ni za mmoja wa watu hao waliovamia kanisa hilo alijeruhiwa wakati akijaribu kuvunja mlango huo, ambao hufungwa kwa vitasa imara. Mosha alisema katika tukio hilo, hakuna mtu aliyejeruhiwa au kupoteza maisha. Paroko huyo alitangaza kuwa kanisa litatoa zawadi ya Sh milioni mbili kwa mwananchi yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa majambazi hao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Alisema taarifa rasmi itatolewa baada ya uchunguzi kukamilika.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win