Ticker

10/recent/ticker-posts

TBT 2014: Hawa Ndio Waasisi wa Tawi la CCM Chuo Cha Diplomasia

 
Picha hii ilipigwa mwaka 2014 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam  Baada ya kuhitimisha Uchaguzi wa Ndani wa CCM wa Tawi la Chuo cha Diplomasia ambapo picha  ilipigwa na baadhi ya wajumbe wa timu ya kampeni ya Katibu wa wa kwanza wa CCM, tawi la Chuo Cha Kimataifa cha Diplomasia 2013/204,Ndg. Kennedy E.Ndosi (wa sita toka kushoto ) ambao pia ni waasisi wa tawi la CCM Chuo Cha Diplomasia 2013/2014 baada ya uchaguzi na Ndg.Kennedy Ndosi Kuibuka Mshindi kwenye uchaguzi uliokuwa mgumu na wa ushindani Mkubwa kati ya Kennedy Ndosi na kada Mwenzake wa CCM Ndg.Severine Kapinga(Sasa Mchambuzi wa Masuala ya Kidiplomasia na Siasa)  na Kutoka Kushoto kwenye picha ni ni Ally Makwiro (sasa Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Mkoa wa Dar es Salaam),Mtela Mwampamba,(Sasa DAS Songea)Dkt.Telesphory Kyaruzi aliyechaguliwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tawi hilo (Sasa Mkurugenzi JK Hospital)  Faiza Salim (Sasa DC Busega Simiyu)Mohamed Mkumbwa(Kada wa CCM),Sixtus,Kennedy E. Ndosi aliyechaguliwa katibu wa kwanza wa Tawi la CCM Diplomaisa (Sasa Mjasiriamali) George Faustine,Bonnah Kamoli akiwa mchumi na fedha wa Tawi hilo (Sasa Mbunge Segerea) Kanali Rankho (Sasa Mratibu wa Misheni za Umoja Mataifa Tanzania),Lupimo na Bi Dotto Nyirenda (Sasa Afisa Tarafa ya Mchichira Mkoani Mtwara) huku wengine walioshiriki katika uchaguzi huo wa kuasisi tawi la CCM Chuo cha Diplomasia Wakikosekana kwenye picha kutokana na majukumu Mbalimbali ya Ujenzi wa Taifa ambao ni Ndg.Suleiman Kuchengo,Bi.  Amina Mollel (Mbunge Mstaafu) Mchungaji Isaya, Hudson Kamoga,  Athuman Kikwete, Chrispine Mizengo Pinda,Octavian Mshiu(Sasa mjasiriamali),Mohamed Ngamanya, Ustaadh Balua Mwakilanga,Dr.Hassan  Abbasi,Allen Kasamala,Severine Kapinga,William Sarakikya (MNEC Mstaafu)  na wengine ambapo wahakikisha Tawi hilo Muhimu la Chama Cha mapinduzi ambapo wakati huo kilikuwa Chini ya Mwenyekiti wake Taifa Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete na tawi hilo lilianzishwa chini ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tanzania wakati huo ikiongozwa na Christopher Ngubiagai na Msaidizi wake Daniel Zenda.


SWALI:
Je Kada wa CCM unayesoma Ujumbe Huu umeshashiriki kuanzisha hata Shina la chama cha mapinduzi?hata kwa Ushauri tu au unatamani kuwa kiongozi bila kuijua misingi na uzalendo wa mwa CCM?

JITAFAKARI

Post a Comment

0 Comments