Ticker

10/recent/ticker-posts

ANGALIA MSANII CHRIS BROWN NA MPENZI WAKE KARRUECHE TRAN WALIVYOACHANA TENA!


briz

Chris Brown amekuwa na kawaida ya kuachana na kurudiana na mpenzi wake Karrueche,lakini kwa hali ya sasa inaaminika uhusiano huo umevunjika kabisa. Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake wameweka picha na mfululizo wa maneno katika mitandao kupitia kurasa zao wakibainisha kuwa kila mmoja yuko singo.
Kwa mujibu wa gazeti la Complex,Chris Brown kupitia tamasha la Cali Christmas lilifanyika ijumaa amekili kuwa hayuko kwenye mahusiano na yeyote
Chris Brown na Karrueche wamekuwa katika mahusiano kwa muda wa miaka minne ambapo wamekuwa wakiachana na kurudiana katika kipindi chote hicho na ndani ya kipindi chote hicho Chris brown amewahi pia kuwa na Rihana,kisha tena kurudiana na Karrueche.
Hivi karibuni katika mahojiano ya Radio Hot 97 kwnye kipindi cha Ebro In The Morning, msanii huyo alizungumzia kuhusu uhusiano wake na Karrueche,alionekana kumsifia kwa kutamka maneno haya.
‘It’s been almost five years. She’s straight. I dig her man. She’s dope…,’ alisema.
‘I feel like, especially being in this industry, you just need somebody that understands you; who understands who you are personally except for your name.
‘Me and her have a real connection, like best friends on top of our intimacy. At the end of the day, me and her have a great relationship. We’re best friends.’ briz2Kwa upande mwingine Chris ameweka picha instagram ikimuonyesha akiwa amejiachia na Khloe Kardashian na dada zake Kendall na Kylie Jenner.