Ticker

10/recent/ticker-posts

JAMANI WEMA SEPETU, WOLPER, LULU KWA NINI MMEPONZA MSANII HUYU??...ABAMBWA LIVE AKIFANYA MADUDU MAKABURINI!

Fatuma Ayubu ‘Fetty’ akiandaa mazingira.
...Akiendelea kuandaa.Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Makaburi ya Ufi yaliyopo maeneo ya Ubungo-Kisiwani jijini Dar, mishale ya saa nne usiku.Ulozi! Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’ amenaswa makaburini akiwanga katika kile kinachodaiwa kuwa ni kutekeleza masharti ya ‘sangoma’ ili ajipatie umaarufu na kuwafikia mastaa kama Wema Isaac Sepetu, Jacqueline Wolper Massawe na Elizabeth Michael ‘Lulu’
...Akivunja nazi kaburini.

...Akiendelea kufanya yake.
Vipande vya nazi vikiwa kaburini baada ya kuvunjwa na Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’.