Mmiliki
wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku video ya
wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani ya siku
nne.
Video
ya P Square ‘Shekini’ iliyowekwa youtube Nov 17 ina views 286,165
huku Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov 20 ina
views 354,910.