Ticker

10/recent/ticker-posts

HAWA HAPA NDIO MASTAA WENYE UMRI MKUBWA ILA WANAWEZA SANAA


Celion Dion umri 46
Ukiwaangalia ni kama wana umri wa miaka 25 ila ukweli ni wana umri mkubwa sana na wanafanya kazi kama kawaida yote ni kutokana na matunzo ya miili yao, vyakula, mazoezi, kupumzika sana, na upendo ndani ya nafsi zao kitu kinachowafanya wazidi ku-shine hadi leo, swali kwa wasanii wa Afrika wanaweza ku- maintain miili yao na kuwa kama wasanii wa mbele?

JLo umri 45

Shania Twain umri
Naomi Campbell umri 44

Post a Comment

0 Comments