Ticker

10/recent/ticker-posts

Yanga inaweza Kukata Rufaa na Kuripoti Kesi ya Upangaji Matokeo

 Yanga inaweza kukata Rufaa na kuripoti Kesi ya Upangaji Matokeo

Baada ya kuzuka sintofajamu kutokana na Klabu ya Yanga kulalamikia kukataliwa goli halali dhidi Mamelodi Sundowns mchezo wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Stepeh Masele ameandika;

“Klabu ya Younga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young Africans ataipata upendeleo”

Post a Comment

0 Comments