Ticker

10/recent/ticker-posts

Aziz Ki Anainyemelea Tuzo ya MVP Msimu huu

 Aziz Ki Anainyemelea Tuzo ya MVP Msimu huu

Kiungo wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki anakuwa mchezaji pekee aliyetwaa tuzo nyingi za mchezaji bora wa mwezi msimu huu mpaka zasa.

Aziz amefikisha tuzo (2) za mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu.

◉ Mchezaji bora October — Aziz Ki

◉ Mchezaji bora March — Aziz Ki


Ametwaa tuzo ya mchezaji bora mwezi March akiwashinda, Feisal kutoka Azam FC na Clatous Chama kutoka Simba SC.


Aziz Ki mwezi Machi;


1. Bao moja vs Namungo FC

2. Bao moja na assists 3 vs Ihefu FC

3. Bao moja vs Geita gold

4. Assist moja vs Azam FC


◉ 4 — Michezo

◉ 3 — Magaoli

◉ 4 — Assists

◉ 7 — Magoli aliyohusika.

Post a Comment

0 Comments