Ticker

10/recent/ticker-posts

Al Ahly Yaifanyia Uhuni huu Simba SC

 Al Ahly Yaifanyia Uhuni Simba SC

Klabu ya soka ya Al Ahly imeifanyia umafia Simba Sc baada ya kuwasili nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa robo fainali ya CAFCL utakaopigwa kesho Ijumaa nchini humo.

Mwandishi wa habari wa Clouds Media ambaye yupo kwenye msafara wa Simba ulioenda Cairo Misri kwa ajili ya mchezo huo, ameshuhudia tukio hilo na hapa anasimulia.

"Al-Ahly kupitia Rider walifanya uhuni wa kulizungusha basi la wachezaji wa Simba kwa dakika (45') kwenda Hotelini sehemu ya dakika (10') .. Mwenyekiti wa bodi ya Simba, Salim Abdallah 'Try again' ikamlazimu kupambana na askari aliyekuwa anaongoza Rider ambaye baadae akasema yalikuwa ni maagizo kutoka Al-Ahly," amesema Nassib Mkomwa.


Post a Comment

0 Comments