Ticker

10/recent/ticker-posts

Msanii Harmonize atangaza "Nimeacha Pombe Rasmi, sinywi tena Mungu nisaidie"

 

Baada ya Pombe kumpeleka ndivyo sivyo mpaka kufikia hatua ya kutoa siri zake za Ndani alizopitia na mchumba wake Kajala staa wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize atangaza kuacha pombe rasmi.

Harmonize ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa "Natangaza rasmi nimeacha pombe sinywi tena, Mungu nisaidie". Moja kati ya matukio ya kukumbukwa wakati Harmonize anatumia pombe ni kuanika kila alichokipitia na mchumba wake Kajala mpaka kupelekea kuaachana kwao.


Post a Comment

0 Comments