Ticker

10/recent/ticker-posts

Wimbo wa Nay wa Mitego wamponza? aitwa BASATA, Soma zaidi

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Nay wa Mitego ambae leo ameutaarifu umma kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa ameitwa na Baraza la Sanaa Tanzania.

Sasa yakaibuka maswali yasiyo na majibu Je ni kutokea na wimbo wake aliouachia hivi karibu ama ni nini, sasa Millardayo.com & Ayo TV imempata kwa njia ya simu…”Wameniambia nahitajika Kwenye kikao Asubuhi Ya leo saa nne, kujadili wimbo wangu wa Amkeni, Barua imenifikia leo Asubuhi na walikuwa wanataka niende Asubuhi Ya leo leo Sasa huoni kama kitu kidogo hakiko sawa na Kwa bahati mbaya mimi nimesafiri, Mwanasheria amewasiliana nao Nadhani kama kutakua na ratiba mpya ya kikao nitahudhuria,  nahisi kurudi Jumatatu, Ameseama Nay wa Mitego

Post a Comment

0 Comments