Ticker

10/recent/ticker-posts

Hawa ndio Watu Maarufu Duniani Waliofariki Kabla ya Kufikisha Miaka 50

 

1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki Nchini Marekani, alifariki kwa ajali ya ndege.

2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.

3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati Nchini Marekani. Aliuwawa na watu wasiojulikana

4.Whitney Houston, miaka 49. Alikuwa Mwanamuziki Nchini Marekani. Alifariki kwa madawa.

5.2pac Shakur, miaka 25. Alikuwa mwanamuziki Nchini Marekani, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.

6.Bob Marley, miaka 36. Alikuwa Mwanamuziki maarufu wa Reggae Nchini Jamaica. Alifariki kwa Kansa.

7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.

8.John F. Kennedy, miaka 46 Alikuwa Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa kupigwa risasi.

9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.

10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.

11. Notorious B.I.G, Miaka 23.


Taja wengine.

Post a Comment

0 Comments