Ticker

10/recent/ticker-posts

Wiliam Malecella Maarufu Lemutuz afariki Dunia,..Chanzo cha Kifo chake Hiki hapa

Mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania, Mzee John Malecela, Bwana William Malecela almaarufu Lemutuz (pichani), amefariki dunia asubuhi ya leo, Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.

Taarifa za kifo cha Lemutuz, zimethibitishwa na meneja wa Lemutuz Online, Deusdedith Innocent, maarufu kama deustanzania.

Lemutuz aliyekuwa mmiliki wa kituo cha habari za mitandaoni, Lemutuz Superbrand, na Le Mutuz TV alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu ndiyo sababu kubwa ya kifo chake.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Aamin.


Post a Comment

0 Comments