PAKUASiku moja baada ya Uganda na Rwanda kusaini makubaliano ya kukomesha matatizo yao, baadhi ya wachambuzi wanasema makubaliano hayo yaliyosainiwa Luanda Angola yatakuwa na maana ikiwa yatatekelezwa. Sylvanua Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali...
from CCM Blog https://ift.tt/2KNfnum
via
0 Comments