Ticker

10/recent/ticker-posts

NEVER GIVE UP: Kwa Waliowahi Kuumizwa Katika Mapenz,Yajue Haya..!!!


Kuvunjika moyo ni moja ya jambo zito na ambalo mtu hupitia na inahitaji sana moyo kwasababu ya kupitia wakati mgumu,fikra,mawazo,maumivu,kujiona huna thamani,jamani mtu kaamua kukuacha wa nini kumganda,let him or her go kama alivotaka,duniani hayuko pekeyake, mbona wamejaa kama yy ,na unaweza kupata mzuri zaid yake ,na ufurahie sana na kumshukur mungu mana mpaka anakuacha manake kajionesha ngozi yake asili kua not your type and he/she does not deserve to be wid u.kwaiyo never give up maisha yenyew mafupi,wacha aende utapata bora kuliko yeye.

jaribu kukaa na familia,marafiki na watu wako wa karibu ,cheka, furahia existence yako,io ni moja ya kuanza kumsahau na kutoa mawazo taratibu.

kua makini kwa kutokua muwazi,namaanisha kua sio kisa umeumizwa uko nyuma ,ndo usiwaamini ke/me wote ,binadamu hatufanani,unahis umependa for the second time achilia toa la moyoni kuliko kukaa nalo,kua free kufanya lolote unaloona its good for you.

baada ya kuumizwa sio unaenda na ww kufanya vitu vya kipuuzi.fanya vitu ambavo vitakavokufanya utoe mawazo na kukupungizia stress ,unafanya ili uwe na furaha na sio depression ukaja kufa bure siku sio zako ndugu.

jikite katika mazoez mfano kukimbia au jiweke busy na kazi yoyote ili kukuweka busy na kupoteza attention ktk kichwa ya yule aliekuumiza,usijiumize kabisa,unajiona maumiv yanazid ,zidisha kujiweka busy na jiweke kama hujawah kuumizwa na jipe moyo be u as u, kua duniani hayuko pekeake.

ukijiweka karibu sana na watu,kua na furaha cheka nao,nao watafurahia uwepo wako,nakuhakikishia unaweza kujipatia apoapo mwngn hahaha,just be u.

badala ya kuangalia mabaya ya kuvunjika uhusiano ,wewe tizama yale mazuri tu uloyafanya,usiseme labda nlifanya baya flani ndo mana nkatendwa,mana skuizi unaweza kutendwa kweupee na huna kosa ulilolifanya,unajishangaa unakaushiwa tu,usijitie mnyororo wa roho buree ukasema hata nkitongoza naweza nsikae nae sana kama wa mwanzo ,no no no,hamna kitu kama iko,ndo mana tukaambiwa binadamu tunatofautiana,just move one,kua huru na nafsi yako,fanya roho yako kitu kinachojiskia ipate faraja for the second time.

toka mitoko ya hapa na pale,tafuta marafiki zako wa karibu,kua na ile tabia ya kutoka out kuspend kuenjoy ,pia itakusaidia kutoa mawazo.

unajua ni bora kua single kuliko kua katika uhusiano m,baya.unaweza pia kupost story yako ktk jukwaa husika ili kupata msaada zaid wa kimawazo ,it ll help too.

Wanaume wameumbiwa wanawake,na wanawake wameumbiwa wanaume,so hata ukiumizwa haifai kusema sitopenda tena,ohh sjui stokuja kutafuta mwenza tena,inamaana utaweza kukaa ivo pekeako mpk uzeeni mpk kufa,mara ohh stopenda tena bali ntawachezea tu na kuwaacha kama nlivoachwa mm,jamani jamani jamani,we chezeaaa mwisho wake uchezewe,chezea wee mwisho wake unajikuta umekondeana kwenda kupima ngoma unayo,utamlaumu aliekuacha au utajilaumu na nafsi yako.

Nmemaliza.love u ol.