Ticker

10/recent/ticker-posts

INASIKITISHA SANA JAMANI:MKAKA MMOJA AKIRI KUWAPA MIMBA MAMA PAMOJA NA BINTI YAKE,SOMA HABARI KAMILI HAPA CHINI

Maisha ya msichana mmoja yameingia matatani baada ya kugundua ya kugundua kuwa mpenzi wake amewapa mimba wote yeye na mama yake.
Swala hili lilitokea baada ya kumshawishi mpenzi wake huyo aende nyumbani kwao kuwafahamu baadhi ya ndugu zake,pamoja na kumfahamu mama yake mzazi pia .

Kitu ambacho alikuwa hakijui ni kwamba uhusiano wa kimapenzi ulianza kati ya watu anaowapenda sana yaani mama yake pamoja na mpenzi wake.
Kama ilivyotarajiwa maisha yake kwa sasa yako katika hali mbaya,hajui afanye nini na ashughulikeje na tatizo hilo,hasa akijifikiria kuwa tatizo lenyewe ni la mama yake pamoja na mapenzi wake anayempenda kwa dhati kabisa.


Kiwango cha usaliti kiko katika hali ya juu sana kwa yeye kuvumilia,na ameanguka katika msongo wa mawazo wa hali ya juu kabisa usio na kipimo.
Na amejaribu kuandika habari hii kwenye gazeti moja angalau kuomba msaada wa kimawazo,kwamba ni kwa namna gani ashughulike na janga linalomkabili.
Kuna kipindi flani mwaka jana,nilimwalika mpenzi wangu aje nyumbani ili nimtambulishe kwa mama yangu.Amekiri hivi karibuni kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mama yake na anamimba yake,na mimi pia nina mimba.Nilimuuliza mama yangu kuhusu swala hilo na alikubali kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wangu huyo.Kitendo hicho kimenichanganya sana na sijui hata cha kufanya jamani. Sikuweza kufahamu kwamba watu ninao wapenda na kuwajali sana wanaweza kunifanyia hivyo mimi.Nimesikitika sana na sijui hata nifanyeje jamani.Na sijui hata nishughulikeje na tatizo hili jamani nisaidieni.sielewi cha kufanya.
Haya ni baadhi ya majibu aliyoyapata:



Fuata moyo wako,kwa sababu mwisho wa siku watu watakuambia vitu vingi sana lakini wewe ndio uko katikati ya tukio.Wewe pekee ndio unaweza kufanya uamuzi hapa.Kuwa imara na uwe tayari kusamehe kama ukitaka kuendelea na uhusiano wako na mpenzi wako.
Ujumbe wa 2.

Hata Biblia inalaani vikali swala kama hilo na inasema kuwa mwanaume yeyote alalye na mamamkwe wake amelaaniwa.Mwanaume huyu atakuwa mzigo mkubwa sana kwenye maisha yako na atakuwa sikuzote chanzo cha maumivu na mawazo.Utapata mwanaume mwingine tena hata kama ukiamua kumlea mtoto pekee yako.Nina mme ambaye ananipenda na anapenda watoto wangu pia licha ya kuwa watoto wale sio wake.Na wala hataki mtoto mwingine.
Ujumbe wa 3.
Kama mpenzi wako ampepata ujasiri wa kukueleze swala kama hili basi inaonyesha kwa kiasi gani amejutia makosa yake.Jaribu kuwasamehe wote hata kama moyo wako utabaki na maumivu,hata hivyo unawapenda wote hawa watu wawili.
Ujumbe wa 4.

Pole sana kwa ninachokiita mimi kuwaibia maskini.Mama yako ni mtu mbaya sana.Je Una baba kama ndiyo yuko wapi?Huyo mwanaume hafai chochote na utakapomwacha itakuwa vizuri sana kwa afya yako.


Ujumbe wa 5.

Kama unaweza hama kabisa kwenye hiyo nyumba ya huyo "mwanamke "anaye jidai kuwa ni mama yako na mwizi wa wapenzi wa watu kwa wakati mmoja.Kata uhusiano wowote na watu hawa wawili mpaka utakapokuwa na utulivu wa mwili na nafsi ubarikiwe!
Ujumbe wa 6.
Mwanaume huyu anayefanya mahusiano na mama yako mpaka kumpa mimba,akijua kabisa wewe na yeye mnamahusiano . mama yako anamakosa makubwa sana.   Anyway, tukio kama hilo sio habari tena hesabu kwamba umepoteza mchezo ,watakie maisha mema kwenye mahusiano yao mapya.Usiwe na kinyongo cha kufanya tabasamu songa mbele.Mda mwingine utakuwa makini sana na mama yako.
Of course, ni swala la kushangaza sana kwamba mama mzazi anamwibia mpenzi binti  yake kwa makusudi kabisa na yeye anajua.
Kama ungekuwa wewe ndiye umevaa viatu vya huyo dada ungefanyaje?

Post a Comment

0 Comments