Ticker

10/recent/ticker-posts

HII SI LAANA JAMANI?CANADA WAFUNGISHA NDOA 115 ZA JINSIA MOJA KWA WAKATI MMOJA..CHEKI VIDEO YA SHEREHE YAO HAPA

wedding2
Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa wakati mmoja mjini Toronto, Canada.

weddind
Ndoa hizo zimefungwa kwa pamoja na kuwakutanisha wapenzi wa jinsia moja kutoka maeneo mbalimbali duniani kusherekea nguvu ya mapenzi yao.
Meya wa Toronto Norm Kelly amesema wanandoa hao wamekutana na kufurahia hatua hiyo muhimu ya kufunga pingu za maisha.
wedding3
Takribani nchi 15 duniani sasa zimeruhusu mapenzi ya jinsia moja .
lesbian
Unaweza kuangalia video hapo chini kuona jinsi tukio hilo lilivyokuwa.