Ticker

10/recent/ticker-posts

VITUKO VYA MASTAA:ANGALIA MSANII RIHANNA HUYU HAPA NAYE NI SHIDAAAH

Baada ya kutoonekana kwenye istagram kwa muda mrefu rihanna amerudi insta nakupost kikatuni hiki.
Wakati huohuo pia ameweka hisia zake wazi tena kwenye mahusiano na kusema kuwa anafuraha sana kuwa single na kutokuwa na mpenzi.
Rihanna alikuwa na mahusiano na chriss brown na kuachana.