Ticker

10/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA ZA MSANII ROSE NDAUKA AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE..NI KUFURUU,ONA HAPAA LIVE


Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa furaha kwa staa wa Filamu Bongo, Rose Ndauka, kwani aliweza kusheherekea siku yake ya kuzaliwa na baadhi ya mastaa wenzake waliyofurika ndani ya Hoteli ya Collossium iliyopo maeneo ya Kamata Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.

Rose Ndauka (kushoto), akimlisha kipande cha keki rafiki yake mpendwa Jack Pentzel, muda mfupi baada ya zoezi la kulishana keki kuanza kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Collosseum Hoteli Kamata Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.







Rose Ndauka na baadhi ya waarikwa wakigonga chairs mara baada ya kufungua shampeni iliyokuwa imeandaliwa kwenye sherehe hiyo.
(Habari/Picha: Musa Mateja/GPL)

Post a Comment

0 Comments