SALAMU MUHIMU:Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mdau Mohamed Ngamanya(MO)

Anaitwa Mr.Mohamed Ngamanya maarufu MO ngamanya,au MO Yanga wengi wakipenda kumuita Mwenyekiti yeye ni mdau mkubwa wa Maendeleo na Michezo Pia kitaaluma amesomea Mahusiano ya kimataifa na Diplomasia akiwa pia mtumishi wa Umma,…

Blog pendwa ya (Masama Blog) inaungana na wadau wote kumtakia Ndugu yetu Mohamed Ngamanya Maisha Marefu na afya njema anaposheherekea siku yake ya kuzaliwa,aendelee kuishi vyema akijitoa kwa uzalendo na bidii kwa Uadilifu na Mwenyezi Mungu akubariki 


 Bw.Mohamed Ngamanya akiwa katika moja ya picha alizopiga akifurahia siku yake ya kuzaliwa 03/04/2025

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال