Breaking News: Haya Hapa Matokeo ya Darasa la Saba 2023 yaliyotangazwa leo
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini (Necta). Dk Said Mohammed akitangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba ya mwaka 2023 jijini Dar es salaam, Kushoto ni Naibu Katibu Mtendaji Angela Kitali. Picha na Said Khamis