Ticker

10/recent/ticker-posts

Diamond Platnumz Amfanyia Jambo Hili kubwa Zari Hadharani,Mashabiki wafunguka

 

Usiku wa jana msanii @diamondplatinumz alitumbuiza jijini Kampala, Uganda.

Miongoni Mwa Matukio yaliyofurahisha Wengi ni Pale ambapo Diamond Platnumz alimba Wimbo wa Mwanamuziki kutoka Uganda, @azizazion ´Nkumira Omukwano' kisha akaeleza kwamba Wimbo huo Ameimba kwa ajili ya Mama wa Watoto wake Zari, 'Nkumira Omukwano' ni Wimbo ambao Unasisitisa kwamba mtu ana mapenzi ya kweli, ingawa ameona wengi lakini bado anampenda Mtu mmoja tu.

Watu wengi wamemsifu Diamond Platnumz baada ya Kuimba Wimbo huo kwani wanaamini kwa namna moja au nyingine utaboresha uhusiano wake na Zari pia kudumisha uhusiano wa Tanzania na

Post a Comment

0 Comments