Ticker

10/recent/ticker-posts

Bodi ya Ligi Kuu imeipongeza Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC 2022/2023

 

Bodi ya Ligi Kuu imeipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/23

Yanga imetwaa ubingwa huo baada ya kuichapa Dodoma Jiji mabao 4-2 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex na kufikisha alama 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kwenye ligi

Ni msimu wa pili mfululizo Yanga inafanikiwa kutwaa ubingwa

Post a Comment

0 Comments