Ticker

10/recent/ticker-posts

Kifo cha Rais Mstaafu Mkapa “Tumepoteza nguzo imara, Mkapa alikuwa Mchapakazi”- JPM

“Nimesikitishwa na kifo cha Mzee wetu Benjamin Mkapa (Rais Mstaafu wa Awamu ya 3), nitamkumbuka kwa mapenzi yake makubwa kwa Taifa, ucha Mungu,uchapakazi na utendaji wake katika kujenga uchumi, hakika Taifa limepoteza nguzo imara, Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina”-RAIS MAGUFULI