Ticker

10/recent/ticker-posts

Hivi ndivyo Rais Magufuli alivyoingia Masaki Nyumbani kwa Mzee Mkapa

Ni picha kutoka Masaki Dar es salaam nyumbani kwa Marehemu Mzee Mkapa na hivi ndivyo Rais Magufuli alivyowasili kwa ajili ya kutoa salamu za pole na kusaini kitabu cha maombolezo.