Ticker

10/recent/ticker-posts

Dkt.Mwinyi afika nyumbani kwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kutoa pole,Jionee hapa

Tunakusogezea picha kutoka nyumbani kwa Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambapo ni msiba wa Kiongozi huyo aliefariki leo July 24, 2020 akipatiwa matibabu Jijini DSM, Mwinyi ambaye ameteuliwa kugombea Urais ZNZ amefika kutoa pole.