Ticker

10/recent/ticker-posts

SOMA HAYA MANENO MAPYA INSTAGRAM YA WEMA NA DIAMOND BAADA YA KIFO CHA IVAN DON

Kifo cha aliyekuwa mume wa zari the boss Lady kimewagusa miongoni wa mastaa wengi Afrika hususani Tanzania.
Baada ya taarifa hizo kusambaa Wema sepetu hakuwa mbali na taarifa hizo za kifo cha Ivan na kuamua kupost kupitia mtandao wa instagram kuonesha ameguswa na msiba huo na kuandika haya. 
Broken hearted…💔💔💔… Rest In Peace Ivan… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 … SHOCKING NEWS kwakweli… My Condolences to The whole Family… Mungu awatie nguvu wale watoto jamani… 😔 They are too young… And Mungu amtie nguvu Mama watoto wako… It will be a very hard period of time for all of you But it shall pass…
Diamond Platnumz ambaye ndiye mume wa Zari kwa sasa nae alifunguka haya.
Mbele yako, Nyuma yetu…. Aliandika Diamond Platnumz.