Ticker

10/recent/ticker-posts

MSANII QUEEN DARLEEN AFUNGUKA HAYA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA ALI KIBA

Katika kuelekea kuumaliza mwaka, timu nzima ya Wcb na wapenda burudani wanakutana kwenye  kiwanja cha  Jangwani Seabreez kwaajili ya party maalumu ya kufunga mwaka iliyo andaliwa na timu hiyo.
Queen Darleen
ALLY-K23
Queen Darleen
Perfect255
“Sitoweza ku-perform nyimbo ya wajua niliyoimba na Alikiba  sababu pale nimepangiwa nyimbo tatu yaani moja mpya na mbili za zamani. hivyo nimechagua nyimbo tatu ambayo ni Wanatetemeka,Kokoro na Kijuso ambayo ni mpya.” ametuchana hiyo Darleen.