Ticker

10/recent/ticker-posts

MAMA SAMIA ATIKISA KWA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA SHINYANGA LEO, ATINGA GEITA KWA KISHINDO

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga.
 Kada wa CCM ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Makonda,  akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Chrisopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga.

 Wananchi wakiwa na bango kumfikishia ujumbe, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita
 Mgombea ubunge jimbo la Nyang'wale Hussein Amar akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Geita
 Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa (kulia) akijadiliana jambo na wajumbe wa kamati ya kampeni za CCM kitaofa, Angela Kizigha na Christopher Ole Sendeka katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyag'wale katika mkoa huo leo

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

 Wasanii wa kundi la kampeni la Ninesttuka, wakishambulia jukwaa kuhamasisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga