Ticker

10/recent/ticker-posts

VIDEO/PICHA: DAVIDO NA WIZKID WAKUTANA USO KWA USO NA KULA BATA PAMOJA CLUB

Hatimaye mastaa wa Nigeria Davido na Wizkid wamethibitisha hadharani kuwa sasa hali ni shwari kati yao, baada ya kukutana uso kwa uso na kuonesheana upendo kwa kukumbatiana huku kila mmoja akionesha kufurahia kukutana kwao.
wiz n davido
Wizkid na Davido wamekutana weekend iliyopita katika Escape night club huko Ilorin, Nigeria ambapo walikula bata pamoja katika club hiyo.
wiz n davido-2