Ticker

10/recent/ticker-posts

LIVE BILA CHENGA:JE HAWA WASANII WA BONGO MUVI HAYA MABUSU YA KIMAHABA YANAMAANISHA NINI?HEBU WAONE HAPA

Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa utengenezaji wa Movie mpya itakayojumuisha mastaa kadhaa wakiwemo, Yusuph Mlela na Asha Boko.
Jina la Movie na itatoka lini? Bado havijawekwa wazi.
Kwauzoefu wako na uelewa wako unadhani movie hii itakuwa ni ya namna gani? Mlela na Asha Boko wamecheza kwenye movie hii wakiwa na mahusiano ya namna gani?