Ticker

10/recent/ticker-posts

UMEIONA HII?HUYU NDO MTOTO WA MSANII KUBWA KELLY ROWLAND..ANGALIA PICHA ZAKE HAPA

camera_hd_wallpaper_4 modified 
Hivi unakumbuka vizuri picha ya kwanza ya staa mtoto Blue Ivy tumeiona muda gani baada ya mtoto huyo kuzaliwa? Imekuwa ni kawaida mastaa wengi kuwa na tabia ya kuficha sura za watoto wao.
Ikiwa ni wiki tatu tangu ajifungue mtoto wa kiume, msanii Kelly Rowland ameweka kwa mara nyingine picha ya mtoto inayoonyesha wake ambapo bado hakuna picha inayoonyesha sura yake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram (@kellyrowland) ameweka picha ya miguu ya mtoto wake huyo pamoja na maneno haya; “…The most Happiest moment of my life — TJW! Share your Happiest moment now on Instagram using #ThisIsMyTime for a chance to win my new @twsteeltimepiece! –xo” @kellyrowland.
Hii itakuwa picha ya pili msanii huyo kushare kwenye mtandao wa Instagram.
Kelly Rowland ii Kelly Rowland
Hii ndiyo picha ya kwanza ambayo Kelly aliiweka ikimwonyesha mtoto wake.