Ticker

10/recent/ticker-posts

HATARI SANA: FIESTA MWANZA 2014...HII NDIYO LIST YA MASTAA WATAKAOPANDA...!

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza  itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii hapa chini ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta
  • Diamond Platinumz
  • Shaa
  • Mkubwa na Wanae
  • Young Killer
  • Ney Wa Mitego
  • Mr Blue
  • Linah
  • Makomando
  • Madee
  • Young Dee
  • Super Nyota
Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko.

Post a Comment

0 Comments