Ramadhani Brothers Kutoka Tanzania Washinda America’s Got Talent, Washinda Fedha Hizi
Ramadhani Brothers
Wanasarakasi Kutoka Tanzania @ramadhanibrothersofficial 🇹🇿 wamefanikiwa Kuibuka washindi kwenye shindano la America’s Got Talent: Fantasy League Na Kujishindia Mkwanja Kiasi Cha Dola $250,000 Ambazo Ni Sawa Na Tsh Milioni 637/=
Ramadhan Brothers wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza toka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo La AGT (America Got Talent: Fantasy League)