Kings Barbershop & Spa, inazinduliwa Jumamosi hii ya Tarehe 24, Feb 2024.
Huduma zote zitatolewa kwa bei ya Ofa na Sauna ni buree kwa watu wote.
Huduma zinazotolewa ni Massage, kunyoa, Sauna, Steam Bath za aina mbalimbali kama vile ya nazi, maziwa na sabuni maalum.
Tupo Dodoma, Area D, karibuni na Greenland Bar, mkabala na Desert Palm.Tupigie kwa namba 0775 557 170 au 0750587170