Ticker

10/recent/ticker-posts

Heri ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwako Mdau Muhimu MNEC Kasesela - Masama Blog

Ndg. Richard Atugwe  Kasesela (MNEC)

Amekuwa kiongozi,Mchapakazi na mtu mwenye mchango mkubwa kwa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Serikali akishika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama Cha Mapindu,Mtu makini na Mwema anaitwa Ndugu  Richard Atufigwe Kasesela.

 


Ndugu Kasesela  (pichani) ameshika nafasi mbalimbali zikiwepo Uongozi katika Bodi za Serikali,Mkuu wa Wilaya na nyingine nyingi na kutoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya Taifa na kwa sasa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC),Anaposheherekea siku yake ya kuzaliwa,Uongozivmzima wa Masama Blog unamtakia afya njema na maisha marefu daima aendelee kutoa mchango  kwa taifa letu na chama cha mapinduzi daima kwani wapo vijana na viongozi wengi wanajifunza kupitia yeye.

HAPPY BIRTHDAY BROTHER ATUFIGWE KASESELA

Post a Comment

0 Comments