Ticker

10/recent/ticker-posts

BREAKING NEWS: Dkt Emmanuel Nchimbi Ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CCM,Soma zaidi hapa


Ndugu Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu.
Timu nzima ya Masama Blog inampa Pongezi na Kumuahidi Ushirikiano wa Hali na Mali Mhe.Balozi  Emmanuel Nchimbi katika majukumu yake haya mapya.
KAZI IENDELEE

 

Post a Comment

0 Comments