Ticker

10/recent/ticker-posts

Katibu Mkuu UWT Ndg.Jokate Mwegelo Achangia Ujenzi wa Ofisi ya CCM na Katibu UWT Mbinga,Soma zaidi Hpa

 

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Cde. Jokate Mwegelo, amechangia kiasi cha Tsh Milioni 5 kwa ajili ya muendelezo wa Ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi  Wilaya ya Mbinga.


Vilevile , Cde. Jokate amechangia kiasi cha Tsh Milioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Wilaya ya Mbinga.

Cde. Jokate amechangia michango hiyo alipokuwa Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma tarehe 15 Disemba, 2023.

Aidha, Cde. Jokate amehimiza kuendelea kuwa na umoja katika kufanikisha ukamilishwaji wa Ujenzi wa Ofisi na Nyumba hiyo kwani uwepo wa Ofisi utasaidia katika kufanya kazi kwa ufanisi katika ushirikiano wa ukaribu pamoja na utunzaji wa nyaraka katika hali ya usalama.

#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee




Post a Comment

0 Comments