Ticker

10/recent/ticker-posts

TANZIA: Mjukuu wa Nyeyere afariki katika ajali Arusha

Mjukuu wa Mwalimu Nyerere Daudi Makongoro Nyerere, ambaye ni mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.

Amefariki kwa ajali ya gari Arusha jana mchana, Baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na Lori.

Post a Comment

0 Comments