Ticker

10/recent/ticker-posts

YULE DIWANI ALIYEPOTEA KWA MIEZI NA KUPATIKANA KWA ASHURA TABATA DAR AMEPOTEA TENA,SOMA HAPA ILIVYOKUWA

 

Yule Diwani aliyepotea kwa Miezi mitatu na kupatikana kwenye nyumba ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Ashura Ally Matitu, mkazi wa Tabata darajani, Diwani Rwakatale wa kata yaKawe amepotea tena kwa Mujibu wa Gazeti la #Tanganyika.

Ndugu wakiri kumtafuta, Kwa Ashura Tabata hayupo.

Source: Rickmedia 

Post a Comment

0 Comments